ProZ.com translation contests »
35th Translation Contest: "Once Upon a Myth" » Swahili to English

Competition in this pair is now open. Translators are invited to submit their entries before the submission deadline. The deadline for submitting entries is Oct 21, 2026 02:00 GMT.

Submission period:
Entries are submitted
Qualification round:
Peers rate entries to determine finalists
Finals:
Winners are selected by peers

Source text in Swahili

[…] Sifa za gwiji huyu zilijiri nyakati zile alipoiongoza jamii yake kuwapiga na kuwanyanyasa maadui wao wa muda mrefu. Kabla ya ujio wake, Sidho waliuwawa kwa wingi na kunyanganywa mali yao.Aliposhika usukani wa jeshi la ukoo wake, walivuna ushindi mnono kwenye vita vyote walivyoshiriki dhidi Jo lang’o (Kalenjin).Hata walienda nyumbani kwa maadui hao na kuwanyanganya mali yao peupe,Jambo lililowapa furaha watu wa Sidho kwani walikuwa wameteseka kwa muda mrefu.

Hata hivyo, lililowashangaza watu wake na maadui ni jinsi alivyowauwa maadui wengi kuliko yeyote yule bila kujeruhiwa.Mishale, mikuki na silaha zingine za kivita hazikumpenya kwa vyovyote bali zake ziliwaingia maadui na kuwauwa kwa wingi. Kauli hii ilifanya maadui na watu wake kumwogopa zaidi. Ukoo wa Sidho waliona jambo hilo kuwa baraka kuu na kiboko cha Nandi. […]

There have been 6 entries submitted in this pair so far.

All entries will become visible at the end of the submission period, at which time interested parties with relevant experience are invited to rate or vote on entries.

You must be logged in to participate in ProZ.com translation contests. For certain forms of participation, membership may be required.

Login now »