[… itakuwa ni Franklin Bulls wanaoanzisha mpira na mara moja Payton Hughes anaukamata mpira, lakini Kendry Rams wanaupokonya mapema kabisa! Wanauchukua mpira na kuanzisha shambulizi la kushtukiza! Na hapo yuko kijana Tom Isaac! Tom Isaac hakuwa hata sehemu ya ulinzi kwenye mchezo huo, amebaki tu mbele, anafanya uviziaji bila ya kushiriki kwenye ulinzi! Wanacheza kwenye ulinzi wa eneo katika mfumo wa kiboksi na wanamuacha tu nje bila kumwangalia! Na sasa wanakwenda kufanya shambulio la Hail Mary (jaribio la dakika ya mwisho)! Lakini Bulls hawajalala! Wamerudi kwa kasi, wamejipanga vizuri kabisa! Ohoo, hakuna nafasi kabisa ya Hail Mary kushinda leo! Mbinu ya kuvutia kweli. Kwa kweli ni jambo la kuvutia, Isaac katika kipindi chote cha ulinzi alikuwa upande huu wa uwanja. Sasa anakwenda kwa jaribio la pointi tatu, akitafuta kufunga mara mbili mfululizo! Lakini bila mafanikio! Je, wataweza kupata mpira wa kurudia mashambulizi pia? Martin kwa mara nyingine anapata nafasi nzuri ya kucheza kwa Rams! Licha ya jitihada zake kubwa, bado Isaac hakuhusishwa moja kwa moja kwenye mchezo huu! Sijawahi kuona kitu kama hiki kwenye mchezo wa mpira wa kikapu! Rams wanatupa burudani ya hali ya juu kabisa, ni mambo ya kusisimua! Hii ni ajabu kabisa…!]  | Entry #38746 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
| Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
|---|
14 | 3 x4 | 1 x2 | 0 |
|
......ilikuwa ni Franklin Bulls walioanza kumiliki mpira, lakini moja kwa moja Payton Hughes anafanikiwa kupora mpira na kuwapa Kendry Rams nafasi ya kushambulia kwa haraka. Rams wanajaribu kutumia fursa hio kushambulia kwa haraka lakini cha kushangaza kijana mdogo Tom Isaac ambaye hakuhusika kabisa na kwenye ulinzi, tayari alikuwa mbele kabisa ya uwanja upande mwingine wa eneo la kushambulia. Rams wanaonekana kucheza sana eneo la ulinzi huku wakiumuacha Isaac eneo la kushambulia makusudi ili apate nafasi ya kushambulia kwa haraka, hii ilikuwa mbinu ya ajabu sana ya kumuacha acheze upande moja tu. Rams wanajaribu kupiga pasi ndefu ya haraka inayofanana na sara ya salama maria lakini Bulls wanazuia shambulio hilo kwa kurudi haraka. Tom anajaribu kupiga kwenye nafasi nzuri ili wapate walau pointi tatu lakini anakosa, hata hivyo Rams wanapata nafasi ya mpira uliorudishwa, Martin anatumia nafasi ya pili vizuri wanafunga na kupata pointi. Inashangaza kuona kitu kama hiki kwenye mpira wa kikapu, kutoka kwa Rams kilikuwa ni kitu cha ajabu....  | Entry #38710 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
| Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
|---|
6 | 1 x4 | 1 x2 | 0 |
|
[…itakuwa ni Franklin Bulls wanaotangulia kupata umiliki na moja kwa moja Payton Hughes anaupata mpira na kujaribu kuupiga lakini Kendry Rams wanaiba mpira mapema ili kutafuta shambulizi la haraka. Hapo yupo kijana Tom Isaac. Tom Isaac hakujihusisha kwenye safu ya ulinzi ya mchezo huo. Anaotea tu. Hajihusishi na ulinzi kabisa. Wapo kwenye ulinzi wa eneo, yaani eneo la sanduku, kisha wanamuacha nje tu. Wanajaribu kupiga pasi ndefu ya aina ya “Salamu Maria”, lakini Bulls wanarudi kwa haraka. Hakuna nafasi kwa “Salamu Maria” hiyo. Mbinu ya kuvutia sana! Naam, ni mtazamo wa kufurahisha sana- katika muda wote wa ulinzi Isaac amekuwa katika upande huu wa kiwanja. Sasa anajaribu mpira wa pointi tatu, akitaka tena kufunga mfululizo lakini hapati. Je, wanaweza kupata fursa ya mashambulizi pia? Martin! Hiyo ilikuwa nafasi nzuri ya pili kwa upande wa Rams. Tena, hajihusishi katika mchezo. Sijawahi kuona jambo kama hili kwenye mchezo wa kikapu. Ni jambo la kufurahisha kutoka upande wa Rams- jambo la ajabu sana…]  | Entry #38785 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
| Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
|---|
4 | 1 x4 | 0 | 0 |
|
[… itakuwa ni Franklin Bulls wanaoanza na mpira, na mara moja Payton Hughes anapata mpira na kujaribu kuuzuia, lakini Kendry Rams wanaiba mpira mapema wakitafuta kushambulia kwa haraka, na hapo yupo kijana Tom Isaac. Tom Isaac hakuwa hata sehemu ya ulinzi katika mchezo huo—yeye tu alikuwa anasubiri mbele bila kushiriki kabisa katika ulinzi. Timu yao inacheza ulinzi wa eneo, ‘box zone,’ na wanamwacha tu nje, wakijaribu mpira mrefu kama Hail Mary, lakini Bulls wanarudi kwa haraka hakuna nafasi kwa mpira wa Hail Mary katika tukio hilo. Mbinu ya kuvutia sana—ndiyo, ni uchunguzi wa kipekee. Isaac katika mzunguko wote wa ulinzi alikuwa upande huu wa uwanja, sasa anajaribu kupiga mpira wa pointi tatu kwa mara ya pili mfululizo lakini haulengi. Je, wanaweza kupata mpira wa pili wa kushambulia? Martin anafanya juhudi nzuri ya pili kwa Rams. Tena, Isaac hajahusika kwenye tukio hili. Sijawahi kuona kitu kama hiki katika mchezo wa kikapu. Mambo ya kusisimua kutoka kwa Rams, ni jambo la ajabu sana…]  | Entry #38771 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
| Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
|---|
3 | 0 | 1 x2 | 1 x1 |
|
[…itakuwa Franklin Bulls na milki ya kwanza na mara moja Payton Hughes anapata mpira kupata mkono kwa ajili yake kwa Kendry Rams kuokota mfukoni mapema kuangalia kwa ajili ya mapumziko ya haraka na haki kuna vijana Tom Isaka Tom Isaac hakuwa hata kushiriki katika milki ya ulinzi juu ya mchezo kwamba yeye tu ni cherry-kuchukua nini ni yeye si hata kucheza ulinzi wao ni tu kucheza zone eneo la sanduku na tu kumwacha nje na wao ni kwenda kufanya Hail Mary lakini Bulls kupata nyuma katika muda hakuna nafasi kwa ajili ya Hail Mary juu ya mbinu moja ya kuvutia ndiyo kuvutia sana uchunguzi Isaka katika seti nzima ya ulinzi alikuwa juu ya upande huu wa mahakama yeye ni kwenda kwa ajili ya kuangalia tatu kwa pointi nyuma kwa risasi nyuma si kwenda kupata wanaweza kupata kukera bodi pia Martin nafasi ya pili kubwa kucheza huko kwa ajili ya Rams tena yeye si kushiriki katika mchezo wa kuigiza sijawahi kuona kitu kama hiki katika mchezo wa mpira wa kikapu mambo ya kusisimua kutoka kwa Rams ni ya ajabu sana...]  | Entry #38693 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
| Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
|---|
1 | 0 | 0 | 1 x1 |
|
[...itakuwa ni Franklin Bulls watakaoanza na mpira, na mara moja Payton Hughes anaupata mpira lakini anakoswa, Kendry Rams wanaiba mpira mapema wakitafuta shambulizi la haraka na pale pale yupo kijana Tom Isaac. Tom Isaac hakuwa hata sehemu ya ulinzi kwenye mchezo huo, yeye alikuwa tu anangoja mbele anachofanya ni kama cherry picking, hata hashiriki kwenye ulinzi. Wapo kwenye mfumo wa ulinzi wa eneo, kama "box zone", wakimuacha tu nje, na wanaonekana kama wanajiandaa kwa Hail Mary pass, lakini Bulls wanarudi haraka na kuzuia hilo. Hakuna nafasi ya Hail Mary kwenye tukio hilo. Mbinu ya ajabu kweli. Naam, ni uchambuzi wa kuvutia. Isaac katika kipindi chote cha ulinzi alikuwa upande huu wa uwanja, sasa anajaribu mpira wa sehemu tatu kwa mara ya pili mfululizo, lakini hauingii. Je, wataweza kupata rebound ya kushambulia? Martin anafanya kazi nzuri ya nafasi ya pili kwa Rams. Tena, Isaac hakuwa sehemu ya tukio hilo. Sijawahi kuona kitu kama hiki kwenye mchezo wa mpira wa kikapu. Mambo ya kusisimua kutoka kwa Rams ya ajabu sana…]  | Entry #38713 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
| Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
|---|
1 | 0 | 0 | 1 x1 |
|